SHUKRANI

Mum Na dad wacha nichukue fursa ya kuwapa shukrani Na kuwasifia *2
Kwa mengi mliyonitendea nasema sitowahi choka kuwaombea*2

Hey kwanza ni shukrani kwa muumba aliye niumba mimi Na kunipa uzima
Majukumu ya kunilea sio kwa uwezo wenu Ila ni wake mungu muumba
Muumba mbingu Na Dunia, azidi kuwabariki Na kuwaongoza*2
Mlinjinyima raha ilimradi nipate elimu Na afya njema nisikose
Kila siku kunibugia mengi mawaidha nisije kuishi tutapatapa
Mwanetu usipotee njia mutumainie mungu sana utaishi kwa raha
Harun B usipotee njia zidi kumwomba mungu sana usikate tamaa

Mum Na dad wacha nichukue fursa ya kuwapa shukrani Na kuwasifia *2
Kwa mengi mliyonitendea nasema sitowahi choka kuwaombea*2

Yeah, sitochoka kuwaombea, my dad and my mum kwa umbali mlionitoa,
Mlinifunza mambo muhimu ya busara, sa mimi niko Imara life yangu iko sawa,
Mlinibamba sana sana Nina raha mami, dad, kitabia niko poa
Ushauri wenu kwangu akika ulinifaa
Mmmh, ka sio nyi ningepotea, starehe za jijini zingeni_lead papaya
Vileo umalaya Aki shetani angenibwaga
Chuki ugomvi shida zingeniandama
Sasa mimi mtoto wenu niko free nasema niko huru through massii kwa kutii
Yeah, sifa zote kwa jalali kuwa huru nashukuru alhabdulilahi yeah

Mum Na dad wacha nichukue fursa ya kuwapa shukrani Na kuwasifia *2
Kwa mengi mliyonitendea nasema sitowahi choka kuwaombea*2

Tena niweze Na tabia njema dad nakumbuka sana ukiniambia
Kwamba nisiwe mwepesi wa hasira bali ni wa kunyenyekea nifanyapo makosa
Dad aki sitopuuzia yote uliyoniambia nitafuatilia
Mum yote niliyasikia mawaidha yako kweli yalinisaindia

Mum Na dad wacha nichukue fursa ya kuwapa shukrani Na kuwasifia *2
Kwa mengi mliyonitendea nasema sitowahi choka kuwaombea*2

Nifanyeje mi niseme nini, wacha nimushukuru aliyenijalia nyinyi
Wema wenu kwangu haupimiki, mlishanitoa umbali sa mi mwanamziki
Ni kibali alichonijalia jalali, baada yenu kunifanya kumjua
Ni kibali alichonijalia jalali, Nani nasema sitochoka kumwimbia
Aaaaaaaaaaaaaaaaa ......

Mum Na dad wacha nichukue fursa ya kuwapa shukrani Na kuwasifia *2
Kwa mengi mliyonitendea nasema sitowahi choka kuwaombea*2

Mwisho.

Leave your comment