wadau ku support mziki wa nyumbani ni chanzo cha mafanikio ya wasanii............

ili muziki wa ndani ya nchi yetu uweze kufika mbali na wasanii wawe na nguvu ya kufanya kazi nzuri,ni lazima wadau waweze kusaidia jitihada zinazofanywa na wasanii wenyewe ikiwa ni pamoja na kununua nyimbi za wasanii online.

Leave your comment