Bethael Nsumyi

ni mwimbaji wa nyimbo za injili
uimbaji wake umeanza toka mwaka 2002 akiwa shule ya msingi
pamba c iliyoko mabatini Mwanza enelo lililo jilikana kwa jina LA mwembe Giza
juhudi zake za uimbaji hazikuishia hapo mnamo mwaka 2004 alifanikiwa kufanya
nyimbo moja iliyo julikana kwa jina LA wamtumainiyo Bwana ambayo hyo ilipata Kibali sana
ilipo fika mwaka 2009 alifanya nyimbo iliyo julikana kwa jina LA simama nami
HVO mpaka sasa anaendelea huku akiwa na jumla ya nyimbo 167 za audio pamoja na nyimbo 9 za video

Leave your comment