TANZANIA: (New Video) – Young Killer – Sinaga Swagga

 

Mwanamuziki wa hiphop nchini Tanzania, Erick Msodoki au jina la kimuziki anafahamika kama ‘Young Killer’ ametoa video ya kibao chake kipya kiitwacho “Sinaga Swagga”. Unaweza kuitazama video hiyp mpya hapa chini:Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment