TANZANIA: Kwamujibu wa manager wa Young D, rapper huyo amerejea tena kwenye dawa za kulevya

Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa ya kulevya.

Taarifa hiyo imekuja mara baada ya mashabiki wengi waliamini kuwa  rapper huyo amechana na matumizi ya madawa hayo. Meneja huyo wa Young Dee amedai kwamba amejitahidi kadri ya uwezo wake, ila kwa sasa ameamua kunawa mikono. Taarifa hizo zimekuja mara baada ya mazungumzo aliyokuwa nayo na mwanadada Wendy Elia kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Katika post aliyoweka katika akaunti yake ya Instagram, ameandika ujumbe kutoka kwenye mistari ya biblia: “Waliompinga na kuanza kumtukana, aliyakung’uta mavazi yake mbele yao akisema,  “Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawandea watu na mataifa mengine” Matendo ya Mitume 18:6. NENO LA BWANA LIMENENA. KILA MWENYE SIKIO NA ASIKIE…”

Kutokana na taarifa hiyo kuonekana na mashabiki wengi, waliibuka na kuanza kutoa maoni yao  kuhusiana na msanii huyo:

Crown_princess_shorlakuto

Munaoleta hiki kiama kwa wapendwa wetu na kutusonononesha kiasi hiki, roho wa Mungu yu mbele yenu, kiama kitawaangamiza soon, kumbukeni mnaowaumiza walizaliwa, wanawazazi wana mama ambao waliteseka miezi Tisa tumboni na mwisho kuingia labour kwa uchungu wa atawaadhibu, kazaneni kuwauwa watoto wa wenzenu kwa kutaka utajiri wa haraka, moto na hasira ya Mungu I juu yenu, @youngdaresalama my brother don’t do that to your poor daughter and her mother, they really need you more than anyone in this world, plz stop this stupid act, grow up brother we don’t wanna loose you, it’s not too late to change my dear! @maximilianrioba don’t give up on him brother at least pray more for him najua lililo gumu kwa mwanadamu Mungu anajua utatizi wake, even if hatokuelewa na nguvu za Mungu atasimama kutete naye. Tuwaombee zaidi kuliko kuwakatia tamaa, najua inavunja moyo but tutambue hata Mungu hajawahi kutukatia tamaa wanadamu na maudhi yetu yote, let us pray for them! For really inaumiza Sana but they our people, our brothers and our family too.

Magrethmaro
Habarii kaka.naomba nikuombe saana juu ya @youngdaresalama usimuache plz achana na maneno ya uchochezi ya watanzania mshike mkono kama vile ile ni damu yako. Nimeumia saana kusikia bado anaendelea kuvuta unga. Kwa niaba ya watanzania wapo wengi tu kama mm tunaolia na kumuombea tupo tayari pia kutoa hata msaada wa kifedha ili hii hali ya kuendelea kula ungaa iishe kabisaaa. @maximilianrioba narudia tena Mungu ndo atakae kulipa ktk hili na si binadamu.naomba anza kupambana juu Yake kuhakikisha amecha kabisa. Watanzania tunakuombe ili ufanikiwe zaidi kwa kila hitaji la moyo wako.pigana kuhakikisha damu yako inaachana na ya dunia.nisamehe kwa kukusomesha gazeti.

harooun_swahiba1832016

Nimekuelewa@maximilianrioba you tried n'd you tried......kama mwanadamu una ukomo wa kujaribu ......kujaribu na kujaribu tena. kwa kuwa tu ni binadamu maumivu ya kile ulichotaka kisitokee na kikatokea kitakugusa hasa ulipo kuwa ukielekeza kama kaka, Baba, Ndugu, Manager na Raiki. Unaweza kosolewa na watu wengi katika hili ila Fahamu ndio kazi yetu wanadamu Mungu yu pamoja nawe. Kwakuwa hukumkataza kitu kizur ulimkataza kitu KIBAYA! Mungu atakulipa.....Thanks

Leave your comment