TANZANIA: Feza Kessy awalilia Chid Benz pamoja na Nando

 

Mshiriki wa Big Brother 2013, Feza Kessy amesema ana mdogo wake ambaye naye ni muathirika wa madawa ya kulevya hivyo anaelewa kinagaubaga changamoto ya kuwa na mtu wa karibu anayepambana na janga hilo.

 

Na sasa amewaomba Watanzania kuwaombea wote walioingia kwenye tatizo hilo wakiwemo Chidi Benz na Nando ambao hali zao za hivi karibuni zinasikitisha.

 

Kupitia account yake ya Instagram, amepost na kuandika:

“Let's pray for our brothers and sisters who are caught up in drug addiction. Chidi ni rafiki yangu for many years Na Nando mdogo wangu, I will Not Post how they look like Now cos kwangu haijakaa sawa. #MadawaYaKulevya sio mchezo it's time tuache kunong'ona Na tuwe wazi! Hashtags Na Repost won't help jamaniiiii A plan is needed as a society to fight this devil. Kwa wale ambao wanasema "wakafie mbali" mara "wameyataka wenyewe" let me tell you something;

Kuna watu wamezaliwa Na addictive personality, wanajaribu Mara moja na ndo mwanzo wa kujiuwa, wengine wanajaribu na wanaacha tu so muache kuhukumu watu kama vile nyie ni Mungu. There is nothing fair about addiction wao wenyewe wanakata tamaa. We need to stop this drug business "Sisi" kama society, we need to teach about it and make our kids fear these drugs, and we also need to love the ones affected, pray for them because huijui Kesho it might come to your house. Ni hayo tu for now.”

Leave your comment