Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Songa anakwenda alipo Darasa – Nay Wa Mitego
20 December 2016

Rapa Nay Wa Mitego ambaye kwasasa ameachia wimbo wake 'Sijiwezi', amefunguka na kumtabiria makubwa Rapper Songa baada ya kusikia kazi yake mpya 'iitwayo 'Ni mwendo tu'

Nay Wa Mitego alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kuwataka wasanii wa Hip hop kubadilika na kuweka misingi pembeni ili waweze kufanya muziki wa biashara ambao unaweza kuwafanya wabadilishe maisha yao
"Nimesikiliza na kuiona ngoma mpya ya Songa kiukweli nimeiipenda naona Songa anakwenda alipo Darassa sasa safi sana, tufanye muziki wa pesa kama hivi mambo ya misingi sijui tuiweke pembeni" alisema Nay wa Mitego. Unaweza kujipatia kibao hicho kupitia app yako ya Mdundo.
Weekly Top 10 songs

KAPEKE LONDON2:23
BIkola2:58
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
In My Bed2:50
CHAMPION GAL3:00
Buwooma2:44
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Paver2:55
Joy Is Coming3:08
Nitampeleka kwa Mama (ft. Xouh)3:44


Leave your comment