TANZANIA: Wimbo wa Cash Madame ni mahsusi kwa wanawake wanaojitegemea.

 

Mwanadada Vanessa Mdee siku ya jumatatu ametoa kibao chake kipya kiitwacho CashMaddame ambapo amesema kibao hicho ni mahsusi kwa wanawake wote wanaojitegemea.

Kupita akaunti yake ya Inastagram, Vee Money amepost na kuandika:

Wimbo huu ni tamko langu kwa wanadada zangu wanaijitegemea. Siku za kumtegemea mwanaume kwa namna yeyote ile zimepitwa na wakati. Afrika mpya inabidi ihamasishe wanawake wawe na mawazo huru ya kutomtegemea mwanaume. Nikiwa binti kama huyo nimeangaliwa tofauti mara kadhaa, ila Cash Maddame bila kuzingatia kazi yake wala mfuko wake, hatetereshwi na ana uhuru mkubwa!

Unaweza kutazama video ya wimbo huo hapa:

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment