TANZANIA: Meneja wa Ruby afanyiwa surprise Coke Studio

 

 

 

Ruby ni mmoja kati ya wasanii watakao onekana katika msimu huu wan ne wa Coke Studio na atakutana na mkali kutoka Nigeria, Mwanadada Yemi Alade.

 

 

 

 

 

 

 

 

Wakiwa katika Studio hizo nchini Nairobi – Kenya, Meneja wa Ruby Salehe Gadau ni moja kati wa ambao wamezaliwa mwezi huu wa 10 na 15 alikuwa anatimiza miaka kadhaa, alifanyiwa surprise katika stage ya Coke Studio katika siku yake hiyo na wakali kama Yemi Alade, Nyanshisiki pamoja na Ruby.

 

Sasa Kupitia app yako ya Mdundo unaweza kujipatia mtiririko wa muziki ya wasanii barani Afrika walioshiriki Coke Studio Afrika Msimu wa pili na wa tatu.. Pakua App yako uburudike kijanja.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment