TANZANIA: ‘Kidogo’ ya Diamond yatimiza views million 1 ndani ya siku 4 tu!!!!!

 

Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. 

Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:

 


Video ya wimbo huo imetoka katika kipindi ambacho kundi la P-Square bado halina maelewano mazuri.

 

Unaweza kuitazama video hii hapa:

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment

Other news