TANZANIA: (Picha) : Wema Sepetu, Alikiba na Ommy Dimpoz wajitokeza kumsapoti Christian Bella

 

 

Msanii Christian Bella siku ya  tarehe 4.06.2016 katika viwanja vya  Escape One vilivyopo maeneo ya Mikocheni jijini Dar Es Salaam, msanii huyo alikuwa na sherehe ya kutimiza miaka 10 tangu aanze kuingia kwenye game mnamo mwaka 2006.

Katika sherehe hiyo kulihudhuriwa na mastaa wa bongo kama vile Wema Sepetu, Alikiba, Ommy Dimpoz pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh. Paul Makonda.

AliKiba

 

Ommy Dimpoz

 

Wema Sepetu

 

Linah Sanga

 

Linah Sanga akitumbuiza

 

Mashabiki wa Christian Bella

 

Alice Kella

 

Dully Sykes

 

Gardner G. Habash

 

Baraka Da Prince

 

Mh. Paul Makonda

 

Maua Sama

 

 

Unaweza kutazama sherehe hiyo hapa:

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

 

Leave your comment