TANZANIA: Video: Tazama Vanessa na Shilole walipokutana stejini

 

Takribani wiki mbili zilizopita taarifa zilienea kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo club Bilicanas.. Wasanii hawa walishika hisia za watu na kuwafanya mashabiki wahisi kama kweli kuna ugomvi kati ya wawili hawa.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa:

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment