TANZANIA: (Picha) Diamond na Ne-yo ndani ya steji moja la Jembeka Festival

 

Tamasha la Jembeka lililofanyika siku ya tarehe 21 mwezi May jijini Mwanza ‘Rock City’ lilifana huku likihudhuriwa na maelfu ya watu. Wasanii waliyopeform ni Stamina, Biznea, Maua Sama, Mr. Blue, Young Rafa, Jimmy Chansa, Sylight Band, Diamond Platnums pamoja na msanii kutoka Marekani, Ne-yo.

Tazama picha za tamasha hilo hapa:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment

Other news