EXCLUSIVE (TANZANIA): Ommy Dimpoz Kumuongeza Abby Katika Management Yake

Mwanamuziki Ommy Dimpoz amuongeza mtangazaji wa Choice FM Abby Plaatjes katika management yake, na hivyo Abby kuungana na meneja wa zamani Mubenga wa mwanamuziki huyo. Swala hili ni la kawaida kwa wasanii ili kuweza kuhakikisha mambo yao yanaenda vizuri.

EXCLUSIVE (TANZANIA): Msanii Diamond Kupongezwa Na MTV Base

Abby pia amewahi kufanya kazi na Vanessa Mdee na Linah Sanga kama meneja. Dimpoz ambaye ametoka kupokea tuzo ya AFRIMMA alisema “nimeamua kufanya kazi na Abby ila pia still nipo na Mubenga kwasababu yeye nilikua nae since day one, hivyo mtegemee kazi nyingi na nzuri”.

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Sheddy Clever Kutoa Wito Kwa Watayarishaji Wenzake Wa Muziki

Leave your comment

Other news