EXCLUSIVE (TANZANIA): Sheddy Clever Kutoa Wito Kwa Watayarishaji Wenzake Wa Muziki

Mtayarishaji wa muziki Tanzania Sheddy Clever awaambia watayarishaji wenzake kufanya kazi kwa bidii ili nchi yetu ipate wawakilishi wengi katika tuzo mbalimbali za kimataifa. Mtayarishaji huyo ambae aliandaa wimbo wa “My number One” alioimba msanii Diamond na kumwezesha kumfungulia milango mingi ya mafanikio, pia alitajwa kuwania tuzo za AFRIMMA mwaka jana na mwaka huu. Miongoni mwa kazi zinazosubiriwa kutoka kwa mtayarishaji huyo ni collabo kati ya Diamond na msanii wa R&B wa Marekani NeYo.

RELATED 

 EXCLUSIVE(TZ): ''Sio picha nzuri mwanangu apatane na picha ya babake anamtia denda demu... '' Diamond Shares How Tiffa Has Changed His Life

Leave your comment