Lyrics

Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Cheki wasupa na si machura Cheki manganya zetu zinavuma Hatuna pupa kama wa Runda Bora Uhai, ata ka hakuna nyumba Sivunji mfupa, ngoma si rhumba We ruka ruka ju ngoma inadunda Yole ni yetu, huku ni kwetu Kuringa wachia ule Wema Sepetu Hatuna wivu, hatuna chuki Wanatusifu na mabinduki Wanasemanga sisi ni wezi Lakini ukweli ni hawatuwezi Wanatumada kama makuku Kuchwa inakatwa kama ya supu Fika Langata vijana tupu Manze nahisi uchungu Lakini bado tomba wazungu OG anabonga kizungu Nipate kando tu kwenye njugu Alafu ndio nipate nguvu Kama ni Wambo shika hiyo njumu Itana ukipigwa na rungu(uuiii) Ni nyama na inaonja mabuyu Napenda wasupa wa huku(rrraah) Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Starehe gharama tupate jaba Tire washanga tunachomanga Sisi si washamba ni Ganja Farmer Wanatugwaya ju ni mafala Cheza na mimi, kijana niGaze Toka na sunda mshipi nakaza Kama ni vita unataka itambe Ju am the fucking Afande Kuja na rende Na mimi nikuje na jeshi la wokovu ya Sunday Tupige magoti tuombe Baadaye tukunywe kikombe Adui mpende, usimtende Pika kasembe muite ademe Usiku halali, Kumbe uliangusha matembe kwa maji ya ugali Na we hujali ni vile hiyo chuki Lazima ikome jamani Kayole yetu si ya mathako Wajanja wengi wamezingira kwako Funga mlango Msupa wako ndio wangu wa kando Nina mipango Vile umesota tutafanya mchango Buda fukuza migatho, eey Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Wapi kelele Kayole Nimetambua Kayole Kwetu ni hapa Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Kayole Kayole, Kayole Nasema nipate Oyole Msupa nipate Oyole, Oyole Nasema nipate Oyole, Oyole Nasema nipate Oyole, Oyole Nasema nipate Oyole, Oyole

Read more at: https://afrikalyrics.com/en/mastar-vk-oyole-lyrics
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up