TANZANIA: Wema sepetu aamua kuwajibu mashabiki wanaosema kapata mpenzi mpya

 
 
Mwanadada Wema Sepetu aamua kuwajibu mashabiki wake kupitia mtandao wa instagram kuhusu tetesi za kupata mpenzi mpya.
 
 
 
Anayehisiswa kuwa mpenzi mpya wa Wema Sepetu
 
 
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepost na kundika:

'Soooooooo, Rumor has it That huyu mkaka ndo New Baby…. Maskini ya Mungu…! First & Foremost, Nimeongea nae kwa simu akaniomba niweze kuwa MC and special appearance at his birthday party… I got my paycheck and did my work… Sasa sielewi Mipuuzi’
 
‘Inayotokwa mapovu kuuutwaaaaa kunifatilia na maisha yangu…. Nd mimi nasemaje lets jus assume it was True, Ni maisha yangu ryt…. So i dont know where all These Bia**** with LowLives wanakuja na kuanza kufatilia wats goin on in my Life’
 
‘God…!!! Nimewakosea nini Mungu wangu…. Maisha yangu yamekuwa ni deal kwenu…. Naongea na wewe unaeuza Nchi za waarabu…. Leave me and my Life alone… I keep saying this jamani, Sijawahi bother na maisha ya mtu… I do my shit…. Huyu kaka simjui na nimemjua on da nyt of his Birthday‘
 
‘Hata kumuwish sijamuwish…. Nimewish mtu mwingine Birthday ila mijitu mifala inatokwa mapovu Sasa labda niseme hivi, Wema ana maisha yake n anaishi atakavyo yeye… Maisha ya Wema hayamuhusu mtu yoyote mwingine and again, My heart belongs to someone else…. Nd I love my baby tooo much’
 
‘So mkiwa mnaandika vitu vyenu vya kipuuzi…. Again Im talking to you, Stupid Bi-polar Biatch…. Uwe una uhakika….. Kwani unachotaka kwangu ni nini Mbwa wewe… Wallahy never have I done this in my Life, But this has just pushed my buttons to da extent that I cannot take it anymore’
 
‘Nimekaa kimya muda mrefu sana and I aint a person dat talks too much… Ila napigiwa simu nyingi mpaka za demu wake na huyu Ally akilalamika and I had to do this…. I keep telling you unatia huruma, You need a Hug… But nat from me honey’
 
‘Waarabu siku hizi hawalipi nini…? Usiharibie watu bwaana… Afu ni sababu nilikukataa kuwa karibu na mimi ndo maana umenikaa rohoni au…. Maana nakuskia tu unaongeeaaa utasema u r my Mom…. Leave me the Fuck alone…!!! una bahati sana nina wisdom ila leo ningekutukana mbwa wewe’
 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment