TANZANIA: Vanessa Mdee ajumuishwa kwenye orodha ya jarida la Essence la wanawake 15 Afrika
29 August 2016

Jarida maarufu la Marekani, Essence limetoa orodha ya wanawake 15 wenye ushawishi zaidi mtandaoni. Ni Vanessa Mdee peke yake ndiye aliyeingia kwenye orodha hiyo kutoka Tanzania.
“The first MTV VJ out of Tanzania, Vanessa Mdee, also known as Vee Money, is one of the most famous artists out of East Africa. Naturally cheeky with an edgy sense of style, the East African beauty can be found hosting gigs or gracing stages all over the continent,” wameandika.
Wengine ni pamoja na:
Genevieve Nnaji – Nigeria

Pearl Thusi – Afrika Kusini

Yemi Alade – Nigeria

Maame Adjei – Ghana

Saran Kaba Jones – Liberia

Tiwa Savage – Nigeria

Lupita Nyong’o – Kenya

Yvonne Nelson – Ghana

Bonang Matheba – Afrika Kusini

Linda Ikeji – Nigeria





Leave your comment