TANZANIA: Stereo, Nikki Mbishi na One the Incredible, wameungana na kuunda kundi linaloitwa ‘Sisi’

 

 

 

Stereo, Nikki Mbishi na One the Incredible, wameungana na kuunda kundi linaloitwa ‘Sisi’ na tayari wamerelease ngoma mpya kuwatambulisha.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake Stereo amesema ngoma hiyo iliyobeba jina la ‘Sisi’ wamemshirikisha rapa mwenzao Godzilla.

“Sisi ni kundi jipya la wasanii wa muziki wa Hiphop ambao kwa kutambua nguvu ya pamoja tumeamua kuja tofuti kwa ajili ya kuelimisha na kutoa burudani kwa mashabiki na wafuasi wetu,” alisema Stereo.

Unaweza kujipatia wimbo wa “Sisi’ kupitia http://mdundo.com/song/61166

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment