special sana

alianza kufanya mziki wa hip hop kipindi icho anasoma darasa la tano moja ya harakati alizopitia babayake alipenda sana asome na siyo kuimba na ivyo kuwa changamoto kubwa sana kwake"..ila now kuna kolabo kubwa zinafuata akiwa na Juma Nature na nyingne akiwa na Amini pamoja na Walter chilambo......soon it will be okey

Leave your comment