TANZANIA: Kidbway aongelea uhamaji wa Baraka kwenda RockStar 4000

 

 

 

Aliyemtoa Baraka da Prince kupitia rekodi yake ya Jitunze 'Kidbway' ameongelea uhamaji wa Baraka kwenda RockStar 4000 nakusema ni njia nzuri kama atafikia malengo aliyojiwekea.

 

KidBway

 

KidBway anasema "Nitafurahi akifikia yale malengo niliyokuwa nayo kichwani wakati naanza kufanya naye kazi, hata kama atayafikia kwenye njia tofauti na nilizoona mimi, nitafurahia kwa mafanikio yake kama ndio njia itakayomfikisha"

Pia Kid amesema "Muda mwingine unatakiwa kujitoa hata kama utaumiza watu ili ufanikiwe, siwezi mtakia mabaya, sio vizuri kumuombea mtu vitu vibaya".

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

 

Leave your comment