TANZANIA: Acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda labour - Zari

 

 

 

Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram ni kwasababu kwa alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa wako huru kusema chochote na hakuna povu kama mitandao mingine. Amesema nini?

“Na wengine acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda labour,” aliandika. “Mtoto mmoja tu kwenye labour na watakaonekana kama tikiti maji lililopasuliwa. Acheni!”

“Nikiwa na miaka 35 na watoto wanne, bado mimi ni mrembo mno kunifananisha, naomba.”

 

 

 

 

 

 

 

Chanzo: Bongo5

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment