TANZANIA: Ujio wa ‘Swahili Hip Hop Band’

 

 

Swahili Hip Hop  Band (SWAHIBA): Hii ni band ya muziki wa Hip Hop wenye vionjo vya asili vvya tamaduni kadhaa za kiafrika. “Traditional Hip Hop Music”

Muziki huu ni wa kwanza kufanyika na umeupatiwa jina la ‘Tubite fleva’. Tubite ni neno la kihehe linalomaanisha twende. Muziki huu unahusisha midundo yenye vionjo vya asili na matumizi ya lugha za makabila mbalimbali ya Afrika. Muziki unahusisha live performance na biashara ya bidhaa za asili. Nyimbo zilizofanywa ni ‘Afrika Tubite’ na mpya inayotarajiwa kutoka wiki hii inaitwa ‘Swahili’ zikiwa ni nyimbo za utangulizi wa Albamu.

Bendi ilianzishwa mwaka 2014 na makazi yake ni Dar es Salaam, Tanzania.

 

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

 

Leave your comment