WANASHANGAA NI HILI HAPA LENGO LAKE

Baada ya kutoa nyimbo yangu ya kwanza "uko wapi" wengi walijua nababaisha mziki na wengine kusema nimeubaka But wanashangaa ni kwa wote walio nidisi japo wengine wamerudi kwa kunisifia ila sitaki tambua nani adui nani mwenzangu Ishalaaaaa sana kwa mnao nisaport (Tunchi, Didasi, Justin, mwaveso, Ndaro na wengine kibao ambao kwangu ni "FMT Crew " Thanks

Leave your comment