Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: WCB nikihitajika kufanya nao kazi, nitaenda kufanya nao – Young Killer
13 June 2016

Msanii Young Killer Msodoki amefunguka kuhusu suala la yeye kujiunga na lebo ya WCB, na kuwataka mashabiki watambue kuhusu ukweli wa suala hilo.
Akiongea kwenye kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV na kutolea ufafanuzi picha aliyopiga na Diamond na kuibua tetesi hizo, Young Killer amesema yeye ni msanii hivyo iwapo kutakuwa na haja ya kufanya nao kazi WCB, hatosita kwenda.
"Naomba ifahamike hivi, mimi ni msanii, hivyo WCB nikihitajika kufanya nao kazi, nitaenda kufanya nao kazi, ila si kweli nipo WCB, ile picha ilipigwa tu kama picha zingine ikapostiwa", alisema Young Killer.
Hivi karibuni kuliibuka tetesi kuwa msanii huyo anatarajia kusainiwa na lebo ya WCB, baada ya kusambaa picha akiwa na bosi wa lebo hiyo, Diamond Plutnumz.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Angel Prince Biography
27 May
- Grateful
25 May


Leave your comment