Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Hatuna tatizo na Marco Chali – Becka Tittle
9 June 2016

Mmoja kati ya memba wa kundi la B.O.B micharazo Beka Tittle amefunguka juu ya bifu inayohusishwa dhidi yao na muandaaji wa muziki Bongo Makochali.
Akizungumza na eNewz Beka alisema kuwa wao hawanatatizo na Makochali labda kuhusu mchongo ambao ulitokea kuhusiana na Rapa wa kundi hilo Mr Blue na Rapa mwenzie Sugu.
“Sisi hatuna matatizo na Makochali labda kuhusu mchongo wa Blue na Sugu kidogo kuna mambo nafikiri yameingiliana lakini nadhani yameenda sawa mambo freshi na tuna ngoma mpya B.O.B micharazo tunataka kufanya na Makochali huyo huyo lakini hamna bifu ya Makochari sisi sote tupo poa yaani kazi kazi,” alisema Beka.
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- So good EP release
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April




Leave your comment