ALBAM ya kwanza by me...!! SHASKA

Niko mbioni kuimalizia ALBAM yangu YENYE NYIMBO 9..
Itakayo beba JUMBE nzito zenye NENO la MUNGU NA NGUVU
Ya MUNGU ..!! Kuwa tayari Kwa kusikiliza MZIKI MZURI wenye
UTOFAUTI mkubwa NA utakaoweza KULETA mabadiliko ya ajabu
Kwenye TASNIA ya mzuki wa injiri

Leave your comment