TANZANIA: Menina afunga ndoa kwa mara nyingine tena

 

Msanii wa muziki nchini Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili.  Mwaka 2015 Meknina alifunga ndoa na mtoto wa Waziri wa Nishati na madini aitwae Peter Haule. Sababu ya wawili hao kuachana haijajulikana.

Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la  Abdulkareem. Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.

 

Menina akiwa na aliyekuwa mume wake wa kwanza Peter Haule " Abdulkareem" pamoja na wazazi wao

 

Menina akiwa na mumwe wake mpya

 

Kupitia mtandao wa Instagram, Menina amepost picha na kuandika haya:

“Bismillah Yaa Allah wewe pekee ulienivusha Darja kwangu hii Alhamdulillah nashukuru kwa kunipa mume mwenye kheir na Mimi inshaallah iwe ivyo mpaka Jannah tustiri tusiache kukusujudia inshaallah tutakabalie Dua zetu Amina Rabbilalahminah nakupenda mume wangu❤️”

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

 

 

Leave your comment