Napenda Hip Hop Lyrics

[Intro]
BlezitUpRecordZ, The Passion HiFi, Engineer Blez Madafu, taking it to the HipHop lovers around the world. Hii ni yenu manze!

Producer akisha nipatia bonge la beat, ni lazima nipige freestyle kabla ya kuchora skit;
Na kama yule boy wa graffiti bado niko Swift, nalift HipHop a notch higher na yote ni gift;
Basi wee tambua jina Ef You En Zee Oh (FUNZO) from way before niliwashow kuwa sitawahi let go!
Kwa kasi me nachambua mafumbo na gumzo zinaflow nikizitundika kwenye hizi rows;
Nimeifanya for more than a decade na imesambaa, kila mitaa washakubali kuwa me Emcee balaa,
Kwenye ground za under nimekuja kuwasha taa, walopagaa warauke na pia wacheki masaa,
Apologies kwa nyinyi mafans for the delay, but anyway sasa imefika ile payday,
Wacha ijulikane niko hapa kustay; no more obstacles nime clear my way and I say…

[ Napenda HipHop, hii ni yenu wote munapenda HipHop;
Ka unapenda HipHop sema; Oh Yeah! (Oh yeah!)
sema; Oh Yeah! (Oh yeah!) ]*2

Wengine waliniambia niquit juu nimekuwa mzazi; Baba Nash na Lem;
Lakini kwangu mziki naicheki ni ka Zaidi ya hizo kazi; pia macash na fame;
Nimekuwa makini kwa muda nikiorganize vile notarize kwa hiyo ngazi; bila ku rush kwa game;
Ni hiphop unlimited sio bundles wala scandals na ni wazi; kuna bash na musiniblame;
Munataka nini sasa wasee kama sio realness na matruth kwa mayouth;
Na, utawacha jina gani kizee; ukido hiyo bizness ya kushoot na kuloot? Uh!
Wacha moto uwake juu ni wakati wa kufanya mambo, tuliambiwa na Kalamashaka tena kitambo;
Life sio SpotPesa ati uta gamble, si utabaki uki mumble!

[HooK]

Nikimalizia, Rhyme moja ni lazima nitawapatia, hadi beat itakapo fifia,
Na pia, naamini munazingatia, yale nimewaambia, kwani kwa mic najua niko clear;
Bila spear, kalamu ndo naitumia, kuwazindulia, mashairi ya kufurahia,
Uiskize kwa mathree kama wee ni abiria, na kwa radio ukirequest bila shaka utaisikia;
Wacha niongeze gear, Turbo kufungulia, nahii hamutasikia, mukiwa mumetulia;
Itabidi raukia, kiti kama umekalia, hakuna kukatalia, hata Bongo wamefagilia;
Wafuasi wa HipHop wote nawasalimia, hili shamba bana lazima tutalipalilia,
Tupate mazao tele kasha tutashangilia, au sio; tupa mbali fear!
[HooK]

Leave your comment