TANZANIA: BET lampa shavu Tiffa
1 June 2016

Mtoto wa msanii nguli nchini Tanzania, Latifa Naseeb Abdul a.k.a Princess Tiffa ambaye ni mtoto wa Naseeb Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz na mama yake aiitwae Zarina Hassan a.k.a Zari amepata shavu la BET baada ya kupostiwa na kuonyeshwa kuwa kama Cute Day selection wao wa leo.
BET- Africa walipost katika mtandao wa Instagram na kuandika: "Our #CuteDay selection today is @diamondplatnumz' s daughter Princess Tifah ❤️"
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment