TANZANIA: Wolper amefunguka na kuonyesha mapenzi aliyonayo kwa Harmonize
25 May 2016

Msanii wa filamu nchini Tanzania Jacquline Wolper amefunguka na kuonyesha mapenzi aliyonayo kwa mpenzi wake wa sasa ambaye ni msanii wa muziki nchini, Rajabu Ibrahim alimaarufu kama Harmonize ambaye anatoka katika lebo ya WCB ‘Wasafi Classic Baby’.
Muigizaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, amepo na kuandika maneno haya yanayoonyesha uraha aliyonayo katika mahusiano yake mapya.
Jacquline alipost na kuandika haya:
“Kuna kitu naamini ni kweli hata ukakipima vipi… Watu hawahitaji maelezo… Wanaukupenda hawana kazi nayo na wanaokuchukia hawatakuamini.. Ndo mana unashauriwa dont explain yourself… Cause in the end people who love you dont need it and people who hate you won’t believe it,” ameandika kwenye Instagram.
“Cha maana ni una amani na una furaha.. Hakuna anaejua mapito yako usiku na kuna muda hakuna anaejua kwanini unafanya baadhi ya vitu unavyofanya. Truth is kama wewe unavyoishi ndivyo na mimi ninavyoishi.. Kama wewe unavyopima kabla ya kutenda na mimi nafanya ivyo
Na trust me ukiona Nimefanya jambo ujue ndilo chagua langu na nina sababu zaidi ya kila jambo lingine,” ameongeza.
“I love Raj and am happy
For any girl who knows about love au ameshawahi kupenda anaelewa namanisha nini. Na truth is i am maybe a little excited but dont we all when we found someone so amazing?? Nina furaha isiyoelezekaThe kind ambayo ukitoka gerezani ndo unahisi
Nimekua huru.. Mwenye amani… Na ukweli ni kuna muda najifkiria naishia kucheka mwenyewe God had ways to turn things around.. Even when the whole world wakiamini tofauti
If he says this is it and YES. Basi itakua YES TU wao wajipe sababu tu.. Waponde wee.. Washauri wee … Wazodoe hadi wapasuke.. As long as usiku nikiwa nalala nina amani na mchana wakati natembea nina furaha
ITS ALL WORTH IT.”







Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment