KOLO kutoka 27/06/016 SIANDA athibitisha

Yule star wa ngoma ya Tambiko anyejulikana kwa jina la Sianda kutoka Tanzania, akiwa kimya kwa mda mrefu sasa ANARUDI na ngoma mpya inayoitwa KOLO ikiwa ice fanywa Nach B pamoja na Bernado katika studio za BEATS BANK MUSIC, Yaaah Made in Tanzania ndo habari mpya, akimngea kupitia Radio na Mtandao wa Mdundo. com Sianda alikili kukaa kimya kwa mda akijipanga kufanya kazi kama solo artist HUku akiwa na Team inayomsaport tu na sio kama hapo nyuma, Ikumbukwe kuwa Star huyu alichipuka kwa nguvu sana Akonekana kutokea mikononi mwa producer GihQ wa morogoro na goma lake la Tambiko likiwa linafanya poa ndipo alipata Label na Management mpya ya digitalvibes ambapo hakusikika tena mpaka sasa hivi, Alidai kushindwa kufanya poa chini ya Management hiyo kutokana na mazingira tu.
HATA hivyo sianda Skeleton alimshukuru sana Gq na Digitalvibes bila kusahau maishabiki kuwa ndiyo wali mfanaya Akonekana na kutaja kuwa ngoma hiyo KOLO itatoka ijumaa ya wiki kesho HUku akiomba maishabiki na media zote kuupokea mziki wake, Tembelea www.mdundo.com kwa habari zaidi

Leave your comment