Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Haiitwi tena Machozi Band, inatwa The Band – Jay Dee
19 May 2016

Msanii Lady Jaydee ametoa sababu ya kubadili jina la band yake ya muziki ambayo ilikuwa ikiitwa Machozi band.
Akongea na East Africa Tv Jaydee amsema ameamua kubadili jina hilo kwani hata yeye sasa hivi hatumii jina la Binti Machozi, akiamini msemo wa watu kuwa jina huzaa maana yake kwenye maisha.
"Band kwa sasa haaitwi tena Machozi Band, inatwa The Band, nilibadilisha miaka miwili iliyopita na kwasababu sasa hivi mwenyewe sikutaka kuitwa binti machozi, watu wanasema jina unaloitwa linarelate na maisha yako, so nikaamua kubadili, kwa hiyo Machozi Band haipo tena imekufa, kwa sasa itakuwa ni lady jaydee and the band", alisema Jay dee.
Jaydee ambaye mwisho wa wiki hii anayatajia kufanya tamasha kubwa la 'Naamka tena', amesema tamasha hilo litakuwa ni la masaa matatu bila kupumzika, kwani ana nyimbo zaidi ya 100 ambazo zinaweza zikamfanya afanye show zaidi ya masaa matatu.
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- So good EP release
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April




Leave your comment