Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Linah amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote.
12 May 2016

Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote.
Akizungumza na Enewz Linna alisema kwamba moja ya kitu hicho ni tukio ambalo walilifanya yeye na mwenzie kipindi wanasoma kwani walikuwa wana tabia ya kujaribu kupiga namba tofauti tofauti ili kutafuta mpenzi.
"Nilifanikiwa kumpata mwanaume ambae nikawa ninawasiliana nae lakini siku tunaenda kuonana nae tulikutana na kitu hicho ambacho siwezi kusahau maana tulikutana na mtu ambae hatukutegemea kutokana na sauti yake ambavyo tulikuwa tukiisikia katika simu tukaamua kutojitokeza ", alisema Linna.
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- So good EP release
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April




Leave your comment