Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Mambo ya kuandikia studio NO!! Hayo ni mabadiliko katika studio ya The Industry
10 May 2016

Prodyuza wa studio ya The Instry amabaye pia ni msanii,amesema kuwa kuna mabadiliko aliyoyafanya katika studio yake. Nahreel amesema kuna mabo ambayo ameyabadilish katika studio yake.
“Mimi nilipoingia kwenye mwaka 2016 , nilibadilisha mambo mengi sana, ufanyaji wa kazi, nilibadili utaratibu wa kubook section, na kwa sasa ni msanii mmoja kwa siku. Na pia nimekataza mambo ya kuandikia studio unless unailipia hiyo section, kwa hiyo ukiandikia studio unakuwa unatumia muda wako. Na kwasasa ukitaka kubook kuna mtu anashughulikia hilo na sio kwangu moja kwa moja. Pia nimeongeza watu wa engineering, nimeongeza watu wa instrument. Nimefanya hilo kuokoa muda na tuwe na concentration kwenye kazi”.
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- So good EP release
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April




Leave your comment