Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Abdul Kiba akanusha na taarifa za kumkopi Harmonize
5 May 2016

Abdul Kiba akakanusha kuhusiana na taarifa za yeye kumkopi Harmonizer juu ya 'location' ya wimbo wake mpya wa 'Bayoyo' ambao mandhari ya video hiyo inaonekana kufanana na ya star huyo wa ngoma ya 'Bado' na kudai kuwa yeye alishuti video yake muda mrefu kabla video ya ngoma hiyo kuachiwa.
Pia Abdul alielezea kile alichokifanya kwa kudis kupitia mitandao na kudai kuwa alifanya ivyo kwa kwaamsha Team Kiba, “Nilijaribu kuzungumza vile kwasababu niliona kuwa team ilikuwa imelala na nikataka nijue wamelalia wapi kwa hiyo mimi nilifanya makusudi tu ili kufahamu walipolalia, mbona wapo kimya”, alisema Abdul Kiba.
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April
- Music artist Henz Davy Says
29 April




Leave your comment