Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Wanajaribu kutugombanisha, lakini hawataweza - Diamond
2 May 2016

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.
Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu zivume tetesi kuwa hitmaker huyo alimsaliti mpenzi wake na mrembo anayeonekana kwenye video ya msanii wake, Raymond, Kwetu.
Msichana huyo aitwaye Irene anadaiwa kuitikisa ngome ya The Chibus.

Akipost picha ya Zari kwenye Instagram, Diamond aliandika: Roho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady.”


Weekly Top 10 songs
Top stories
- Gan theking
16 August
- News
16 August
- Am Holy pro Da Ancient
18 August




Leave your comment