TANZANIA: Diamond ukifanya nae collabo kama utapitia kwake ni bure lakini ukipitia kwangu ni pesa – Sallam Sk

 

Meneja wa Diamond Platnumz kufunguka kuhusina utaratibu wa collabo na malipo kwa msanii wake. “Diamond ukifanya nae collabo kama utapitia kwake ni bure lakini ukipitia kwangu ni pesa unajua kuna ngoma nyingine msanii anaweza akaona mwenyewe kama nitafanya hii itaniweka mahali fulani ndio maana kuna ngoma nyingi Diamond Platinumz kafanya bure”, Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK

 

 

“Kwa mfano ngoma ya Linex, Linnah zote hizo amefanya bure lakini pia wimbo wa Harmonizer sijamchaji hela japo kuwa Harmonizer yupo WCB na yeye anatakiwa alipe kwasababu ana mapato yake ambayo yanaingia katika lebel”, Meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK

 

 

Leave your comment