Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Ilinichukua wiki mbili kumpata Alikiba kufanya nae kollabo – Nuh Mziwanda
27 April 2016

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza.
Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa.
Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye game.
Weekly Top 10 songs
Top stories
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April
- Music artist Henz Davy Says
29 April
- Music artist Henz Davy Says
29 April
- BABA FELA
30 April




Leave your comment