special force classic

hili ni kundi la muziki linaloundwa na wasanii 5 ambao ni Sila B,Rwegojaty,Sam Msswaga,Tizzo Bella na Ajokali.Kundi hili limeanzishwa Mwaka 2013 chini ya usimamizi wa PRINCE KALAWA ambaye ndio Meneja wa kundi hili ambao linapatikana Lushoto Tanga ambalo mpaka Sasa limeshafanya nyimbo 3 audio na video 2 audio
1.Nimekolea
2.Baby la Mimi
3.Kandele
video
1.Nimekolea
2.Baby la mimi

Leave your comment