TANZANIA: Pam D atamani kolabo na Vanessa

Pam D a.k.a Pam Daffa amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kufanya kazi na V Money kwa sasa. Pam Daffa ambaye wikend hii ilikuwa ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na aliamua kusherehekea na mashabiki zake pale Maisha Club.

Enewz ikapata nafasi ya kuzungumza na Pam D kuhusiana na muziki wake, ambapo Pam D alisema wiki ijayo ataachia ngoma yake aliyoshirikiana na Nay wa Mitego, lakini zaidi ni kuwa anatamani sana kufanya collabo na Vanessa Mdee.

Leave your comment