Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA:Wanaosema sina kazi, nazurura tuu kwenye mitandao ya kijamii wanakosea - Idris
18 April 2016

Mchekeshaji maarufu nchini Idris Sultan amesema kwamba wanaosema hana kazi na anazurura tuu kwenye mitandao ya kijamii wanakosea kwa sababu yeye ni msanii.
Idris amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Salama Jabir katika kipindi cha Mkasi Tv Show kinachotushwa na EATV.
''Mimi ni 'Celebrity' na kwangu kuwa kwenye mitandao ya kijamii kwangu ni kazi kwa sababu siwezi kufanya 'interview' na vyombo vya habari kila siku'', amesema Idris. Aidha Msanii huyo pamoja na mambo mengine amefunguka kwamba bado hajaoa na wala hana mtoto. Na kwa sasa Idris ni mtangazaji wa Hard Drive cha kituo cha Choice Fm.
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment