Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Video: Raymond – ‘Kwetu’
15 April 2016

Msanii wa bongo fleva Raymond ambaye mwanzo alikuwa katika kundi la Tip top Connection na baadaye kujiunga na lebo ya WCB ‘Wasafi Classic Baby’ ambayo iko chini ya usimamizi wa Diamond Platnumz ambaye anafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Raymond ambaye amejaribu kufwata nyayo za kiongozi wao wa WCB na kutoa video kali.
Unaweza kuitazama vide hii hapa:
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment