Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Fezza Kessy awa mtangazaji wa Choice Fm
14 April 2016


Msanii wa muziki wa bongo fleva Fezza Kessy, ambae pia alishawahi kushiriki Big Brother Africa na alishawahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania amabe kwa sasa amejiunga na kituo cha utangazaji wa redio ya Choice Fm ambayo iko chini ya usimamizi wa Clouds Media.
Feza atakua akitangaza kipindi cha Hard Drive. Katika ukurasa wao wa Instagram, Choice Fmwaliandika na kusema kuwa: Usajili mpya wa @fezakessy ndani #HardDrive ya 102.5 Choice Fm kuanzia saa 12-3 asubuhi, karibu kwenye #Freedom ya mziki mzuri na stories
Weekly Top 10 songs

Kamwambie3:47
chile-one-so-lucky4:02
Buwooma2:44
Joy Is Coming3:08
Nakupenda3:12
Udede Ft Msomali x Malume & Samas Alifata Hela Remix6:34
Msaliti 11:25
Paver2:55
Ssirivawo ft yven feiz2:10
Ziyakuba kabotu6:57
Top stories
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April
- One and only
01 May
- SHUKRANI
02 May


Leave your comment