TANZANIA: Idris hakufanya poa Kenya…
8 April 2016

Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan alizomewa siku ya Jumanne usiku ndani ya Kenya National Theater wakati wa onesho la uchekeshaji Afrika Mashariki, ambao uihudhuriwa na mastaa wakubwa.
Umati wa watu waliokusanyika kuangalia onesho hilo wakufurahishwa na vichekesho alivyokuwa akivitoa Idris. Mashabiki hao walimuomba atoke stejini na kupisha wachekeshaji wengine wapande jukwaani, kitu ambacho kilimfanya asigeuke nyuma.
Chanzo: SDE




Leave your comment