Mugga BYTEZ ; Nana official released 09-04-2016

Baada ya hustle za muda mrefu kufanya muziki bila malipo takribani miaka kumi sasa. N aachia ngoma yangu mpya inayoitwa NANA ambayo nimemshirikisha NASRY Hit maker wa NINI . Ni hit (nana) kama ilvo andaliwa na iMran na Chuse jonten imefanyika studio mbili tofauti. Truth rec. kwa iMran na This One Rec. kwa Chuse jonten . Asanteni sikilizeni mziki mzuri toka kwangu na tarajieni kibao

Leave your comment