GUMZO KUHUSU WIMBO WANGU MPYA "uko wapi"

Wengi husema na kuwaza kwa nini Fantastic ameimba "uko wapi" na wengi wao huniambia pole kwa yaliyo tokea wenyewe wanadai nimeachwa Ukweli ni kwamba hakuana ukweli wowote kuhusu ule wimbo huo zaidi ya Mimi kuangalia watu na mapenzi ya sasa na sio nimeachwa mtoto wa kiume Mimi siachwi bali naacha.

Leave your comment