Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Producer Cjamoker aachia video mpya ft Wakazi,P The Mc, One, Zaidi & Ibrah – Cjamoker
10 February 2016

Producer wa muziki katika label ya Chimbo Inc, Cjamoker ameachia video mpya yenye jina lake ‘Cjamoker’. Katika wimbo huo amewakutanisha pamoja wasanii wa Hip hop Illness mcees, Wakazi, P The Mc,One The Incredible, Zaid na muimbaji wa R&B Ibrah.
Video imefanyika kwenye Studio za Africa Nyumbani Studios na kuongozwa na Mecky Kalowa.
Tazama hapa chini;
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Anthem
25 May


Leave your comment