Tanzania Independence celebrations in style.

#‎Tanzania‬ ‪#‎Independence‬ day ni kesho wana Ndugu.........
Nduguzee tunamsapoti Mh Dr John Pombe ‪#‎Magufuli‬ kwa kuifanya siku hii kuwa si siku ya kupiga dili na kuna hela zetu bali kila mmoja kwa ngazi yake aelekeze muda wake katika suala la usafi wa mazingira NA SISI TUNAONGEZEA PANDENI MITI MINGI SANA SIKU YA KESHO TUJE KUKUMBUKA SIKU HII KWA MIAKA MINGI IJAYO....Na pia sambaza nyimbo hii ya ‪#‎MAJI‬ UHAI kutoka kwa ‪#‎Nduguzee‬ iwe chachu na kiburudisho katika shughuli za ‪#‎mazingira‬ hiyo kesho......

TUNAWATAKIA ‪#‎WATANZANIA‬ WENZETU FURAHA KATIKA SIKU HII YA ‪#‎UHURU‬.

Download Maji Uhai by Chaca Na Nduguzee here http://mdundo.com/a/9875

Leave your comment

Top stories

More News