NEW SONG (TANZANIA) – Baghdad ft Roma – Unaakili Wewe
4 December 2015

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii wa hiphop Roma ameshirikishwa katika ngoma mpya akiwa na Baghdad. Wimbo unaitwa “Unaakili Wewe”, umetayarishwa na Issam na Geof Master.
sikiliza kupitia Bongo 5 hapa chini;





Leave your comment